Kikosi cha Yanga chini
ya makocha wake, Hans ven der Pluijm na Charles Boniface Mkwasa, kimeendelea
kujifua kama kawaida.
Yanga imefanya mazoezi
yake leo kwa siku ya pili mfululizo baada ya kuanza upya mazoezi, jana.
Mazoezi hayo
yalifanyika katika Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam na mashabiki
kibao wa Yanga wakajitokeza kushuhudia.
0 COMMENTS:
Post a Comment