Argentina imefanikiwa kuwashinda wapinzani wake wakubwa Uruguay kwa bao
1-0 katika mechi ya Copa America.
Mechi hiyo ilikuwa kali na ushindani mkubwa, Sergio Aguero ndiye
aliibuka shujaa baada ya kufanikiwa kufunga bao pekee kwa kichwa.
Argentina: Romero 7, Zabaleta 7.5, Garay 6, Otamendi 6.5, Rojo 6,
Mascherano 6.5, Biglia 7, Pastore 6 (Banega 79), Messi 7, Aguero 8 (Tevez 82),
Di Maria 5.5 (Pereyra 89).
Subs not used: Roncaglia, Gago, Higuain, Guzman, Casco, Demichelis,
Lamela, Lavezzi, Andujar.
Goal: Aguero 55.
Booked: Mascherano, Rojo.
Uruguay: Muslera 7, M Pereira 7, Gimenez 6.5, Godin 7, A Pereira 6,
Rios 6, Rolan 7, Gonzalez 6, Lodeiro 5.5 (Hernandez 69, 5.5), C Rodriguez 6
(Sanchez 64, 6), Cavani 5.5.
Subs not used: Fucile, De Arrascaeta, Stuani, G Silva, G Pereira,
Corujo, Coates, Rodriguez, M Silva.
Booked: Lodeiro, Godin.
Referee: Sandro Ricci (Brazil).






















0 COMMENTS:
Post a Comment