Beki wa Mnigerian, David Faramola Oniya ameanguka
ghafla na kufariki dunia uwanjani.
Oniya aliyekuwa anaichezea T Team iliyokuwa ikipiga
mechi ya kirafiki dhidi ya Kelantan alianguka na kufariki dunia.
Mnigeria huyo aliyekuwa na miaka 30 alianza mechi hiyo
akionekana ni mwenye afya njema kabisa.
Licha ya kukimbizwa hospitali ikiwa ni juhudi za
kumuokoa, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa T-Team, Syahrizan Mohd Zain alisema walielezwa
alishapoteza maisha licha ya madaktari kuwa tayari kumsaidia.
DAILY MAIL








0 COMMENTS:
Post a Comment