Baadhi
ya wachezaji wa Manchester United, Wayne Rooney, Angel di Maria, Antonio
Valencia na Michael Carrick wametengeneza tangazo la kinywaji cha Aperol Spritz
kwa kushirikiana na magwiji wa klabu hiyo.
Magwiji
hao ni Andy Cole na Dwight Yorke ambao walionekana kama wahudumu wa baa.
Rooney
na wenzake walikuwa kama wateja, hiyo imeonyesha timu za Tanzania Bara pia
zinaweza kusaka matangazo ya vinywaji na wachezaji wake wakashiriki.














0 COMMENTS:
Post a Comment