June 14, 2015

1 COMMENTS:

  1. Mimi bado na Taifa stars tu..
    Hivi kikosi cha timu ya taifa huwa kinateuliwa na nani, ni kocha au ni TFF?
    Kama ni kocha, hv kwel kocha anaweza kumjumuisha Oscar Joshua, John Boko na Erasto Nyoni kwenye kikosi cha timu ya Taifa? Kwa kweli TFF hii mnatutia kichefuchefu kabisaa maana mmeshindwa kufikia hata 1/8 ya mafanikio hafifu ya Tenga. Hopeless kabisa..!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic