![]() |
| ADEBAYOR NA SHERWOOD...Aston Villa imeanza mazungumzo na Tottenham ili ikiwezekana imsajili mshambuliaji kutoka Togo, Emmanuel Adebayor. |
Villa inamtaka Adebayor kwa ajili ya
kuziba pengo la Christian Benteke ambaye leo, rasmi anatarajia kutua Liverpool
![]() |
| BENTEKEKocha wa zamani wa Spurs, Tim Sherwood ambaye sasa anainoa Villa ndiye amependekeza mshambuliaji huyo mwenye miaka 31 kujiunga na Villa. |
Hata hivyo, inaonekana kutakuwa na
mjadala mkubwa katika suala la mshahara wake wa pauni 100,000 kwa wiki ambao
anaendelea kulipwa na Spurs ingawa imekuwa hamtumii sana.









0 COMMENTS:
Post a Comment