SURE BOY |
Azam FC inaingia uwanjani leo kupambana
na Yanga katika mchezo war obo fainali ya Kombe la Kagame bila ya wachezaji
wake wawili muhimu.
Azam FC itawakosa nahodha msaidizi, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na beki wake kiraka, Erasto Nyoni.
Hall alisema katika mchezo huo, anaweza
kuwakosa wachezaji wawili nyota wa kikosi chake ambao ni beki Erasto Nyoni na
kiungo Salum Aboubakar ‘Sure Boy’.
“Nitawakosa wachezaji wawili, Nyoni
ambaye ana kadi mbili za njano na Sure Boy ambaye ni majeruhi wa enka, lakini
nina wachezaji wengi ambao nitawatumia kuweza kupambana,” alisema Hall.
0 COMMENTS:
Post a Comment