July 21, 2015

Shabiki huyu wa Gor Mahia, pamoja na kushangilia kwa nguvu timu yake, amekuwa akijiingizia kipato kutokana na matangazo.


Utaona katika nguo alizovaa na bendera aliyobeba akiwa na matangazo ya runinga maarufu ya michezo ya SuperSport.

Taarifa zinaeleza Gor Mahia na runinga hiyo, kiasi fulani zimekuwa zikimuwezesha katika safari zake au fedha kadhaa kutokana na mchango wake.


Huenda sasa ikawa ni sehemu ya mashabiki wa Bongo wanaojichora nao kuangalia ubunifu huo, ikiwezekana nao wawe wanawezeshwa!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic