WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIONGOZWA NA DIEGO COSTA WAKIWA KWENYE UZI WAO MPYA NA WADHAMINI WAPYA WATENEGENEZA MATAIRI YA YOKOHAMA.
Kwa hapa nyumbani, Kampuni maarufu ya kuuza matairi ya
magari ni ile ya Bin Slum ambayo inazidhamini timu za Mbeya City, Stand United
na Ndanda FC.
Sasa Chelsea nayo itavaa jezi zenye nembo ya wauza
matairi ambao ni Yokohama.
Yokohama iliyoanzishwa mwaka 1917 ambayo asili yake nchini Japan imesaini
mkataba wa pauni milioni 40 na Chelsea.
Kampuni hiyo imesambaa dunia nzima na maarufu kwa
uuzaji wa matairi.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment