Yanga imeonyesha imepania kweli kujiimarisha, kwani
siku moja tu kabla ya michuano ya Kagame, imemalizana na kipa Mudathir Khamis.
Muda aliyekuwa anakipiga KMKM na kuaminika ndiye kipa
bora zaidi kuliko wote Zanzibar, leo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea
Yanga.
Kipa huyo amesaini mkataba huo mbele ya Katibu Mkuu wa
Yanga, Dk Jonas Tiboroha.








0 COMMENTS:
Post a Comment