July 31, 2015

JERRY MURO
Mkuu wa kitengo cha habari cha Yanga, Jerry Muro amefiwa na baba yake mzazi.


Babaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa kwa siku kadhaa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).

Akizungumza na SALEHJEMBE, Muro amesema msiba uko nyumbani kwa marehemu Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam.

"Kama unavyojua kwa sisi Wakristo, kidogo taratibu zinakwenda kwa kusubiliana. Hivyo msiba ni pale Ubungo Maziwa nyumbani kwa marehemu," alisema Muro.

SALEHJEMBE INATOA POLE KWA JERRY NA WANAYANGA WENGINE.

MUNGU AMPUMZISHE MZEE MURO KWA AMANI.



1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic