Mechi
ya ufunguzi wa Kombe la Kagame kati ya Yanga dhidi ya Gor Mahia ni mapumziko.
Timu
hizo zinakwenda mapumziko baada ya Yanga kutangulia kupata bao baada ya beki wa
Gor kujifunga lakini wakasawazisha kupitia Harun Shakava katika dakika ya 16.
Yanga
wanacheza wakiwa pungufu baada ya mshambuliaji wake Mzimbabwe, Donald Ngoma
kulambwa kadi mbili za njano zilizozaa nyekundu na akatolewa nje katika dakika
ya 24.







0 COMMENTS:
Post a Comment