MISHETTO...
Mtanzania Charles Mishetto amecheza mechi yake ya
kwanza akiwa na timu yake ya Rabestein FC ya nchini Ujerumani.
Mishetto aliyewahi kuichezea Stand United ya
Shinyanga, amecheza mechi hiyo kwa dakika 60.
“Ilikuwa mechi na timu kutoka maeneo yetu hapa,
imeisha kwa sare ya bila bao lakini ilikuwa ngumu na nzuri.
“Ni mechi ya kirafiki ikiwa ni katika njia ya
maandalizi ya ligi,” alisema Mishetto.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment