Mashabiki
wa Simba, wameitwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kesho kwenda
kuishangilia Yanga ikipambana nan a Al Kharthoum.
“Yanga
sasa inapambana kuiwakilisha Tanzania, hivyo hata mashabiki wa Simba wanaweza
kuwa wazalendo.
“Waje tu,
tuungane kwa ajili ya utaifa. Ushabiki wa nyumbani ni baadaye baada ya michuano ya Kagane,”
alisema Mkwasa.
Yanga
ilianza michuano hiyo kwa kusuasua ikichpwa mabao 2-1 ana Gor Mahia. Lakini
ikajirekebisha na kushinda mechi mbili zilizofuata.
0 COMMENTS:
Post a Comment