Kocha Mkuu wa Chelsea, Jose
Mourinho atampa mshambuliaji wake mpya Radamel Falcao nafasi ya kuivaa
Barcelona kwa dakika 30.
Mourinho
amesema Falcao atapata dakika hizo kesho Jumatano wakati wa mechi yao ya
kirafiki dhidi ya Barcelona ikiwa ni sehemu ya kumuandaa na kuandaa kikosi
chao.
Falcao
ametua Chelsea akitokea AS Monaco ambayo ilikuwa imempeleka kwa mkopo katika
kikosi cha Manchester United ambako hakuwa na mafanikio makubwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment