Shirikisho la
Soka la Nigeria, limemteua nahodha wake wa zamani wa timu ya taifa kuwa Kocha
Mkuu wa Super eagles.
![]() |
| ...AKIWA DORTMUND. |
Sunday Oliseh ,40,ndiye amepewa jukumu hilo kwa miaka mitatu amechukua nafasi ya Steven Keshi ambaye amefungashiwa
virago.
Oliseh
anachukua nafasi hiyo na kuwa mchezaji wa nne wa zamani wa Nigeria kuchukua
nafasi hiyo ya kocha mkuu wa timu ya taifa.
Nigeria iko
kundi moja na Taifa Stars katika kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika
(Afcon).
Oliseh ni kati ya nyota walioisadia Nigeria kutamba kimataifa, pia alifanya vizuri akiwa Italia akiichezea Ajax ya Uholanzi, Juventus pia Ujerumani akikipiga Dortmund.










0 COMMENTS:
Post a Comment