July 1, 2015

  
Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr ameanza mazoezi ya kukinoa kikosi kipya cha Simba.

Kerr akisaidiana na Selemani Matola ameanza kukinoa kikosi hicho ikiwa ni siku chache baada ya kuingia nacho kandarasi ya miaka miwili.

Mwingereza huyo, hata hivyo ameanza kazi na kikosi chenye vijana wengi zaidi ukiachana na wakongwe wachache waliokuwawepo kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam akiwemo Mussa Hassan Mgosi.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic