Wakati
kipa David De Gea na kiungo Antonio Valencia wako tayari kwa ajili ya mechi
dhidi ya Barcelona hivi punde, Kocha Louis van Gaal atamkosa kiungo wake mpya, Bastian
Schweinsteiger.
Manchester
ina kibarua kigumu hivi punde, kwa kuwa inakutana na Barcelona katika mechi ya
kirafiki inayopigwa nchini Marekani.
Ingawa
ni mechi ya kirafiki lakini imekuwa gumzo kwa kuwa Barcelona imekuwa
ikiinyanyasa Manchester United kila inapokutana nayo.
0 COMMENTS:
Post a Comment