Ingawa ilikuwa ni mechi ya kirafiki lakini ilionekana ni kama mechi ya kisasi. Safari Manchester United dhidi ya Barcelona ilikuwa ikipigwa katika ardhi ya Marekani.
Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 na nahodha wake, Wayne Rooney alianza kufungua milango kabla ya Lingaard na Januzaj kuizamisha Barca iliyopata bao ala kufutia machozi kupitia kwa Rafinha.
Barcelona (4-3-3): Ter Stegen 6 (Masip 45, 6); Adriano 6 (Rakitic 45), Piquet 6 (Bartra 68, 6), Vermaelen 6 (Matthieu 60, 6), Alba 6; Busquets 6.5 (Gumbau 68, 6), Rafinha 6, Iniesta 6 (Halilovic 68, 6); Sergi Roberto 6.5, Suarez 7.5 (Sandro 68, 6), Pedro 6.5 (Munir 68, 6)
Scorer: Rafinha 90
Man Utd (4-3-3): de
Gea 6 (Johnstone 62, 6), Darmian 6.5 (Valencia 62, 6.5), Jones 6.5 (Smalling
62, 6), Blind 6 (McNair 62, 6.5), Shaw 6 (Blackett 62, 6.5); Carrick 6.5
(Herrera 62, 6), Schneiderlin 6.5 (Fellaini 62, 5.5), Mata 6 (Perreira 62, 6);
Depay 6.5 (Lingaard 62, 6.5), Rooney 6.5 (Januzaj 62, 6), Young 7 (Wilson 62,
6.5)
Scorers: Rooney 8,
Lingaard 65, Januzaj 90
Booked: Jones,
Herrera
Referee: Baldomero
Toledo 6.5
MOM: Luis Suarez
(Barcelona)
0 COMMENTS:
Post a Comment