Kikosi cha
Simba kimeondoka leo mchana kikitumia usafiri wa boti kwenda mjini Zanzibar kuanza kambi
Simba
ikiongozwa na Kocha Mkuu, Dylan Kerr na benchi zima la ufundi inaingia kambini
Zanzibar baada ya kambi ya kwanza mjini Lushoto.
Simba iliweka
kambi kutafuta nguvu, kasi na uimara wa wachezaji.
Sasa inakwenda
Zanzibar kwa ajili ya kambi itakayohuisha masuala ya kiufundi zaidi kiuchezaji
ikiwa ni pamoja na kucheza mechi za kirafiki.







0 COMMENTS:
Post a Comment