![]() |
| WANGA (KUSHOTO) WAKATI AKIITUMIKIA EL MERREIKH AKIPAMBANA NA JEAN BAPTISTE MUNIRANEZA 'MIGI' WAKATI AKIICHEZEA APR. WOTE WAWILI WAMEJIUNGA NA AZAM FC. |
Mshambuliaji nyota
wa Kenya, Allan Wanga amejiunga na Azam FC.
Wanga amesaini
leo mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam FC.
Baada ya hapo
mshambuliaji huyo wa zamani wa El Merreikh ya Sudan anatarajia kurejea kwao
Kenya.
“Anarejea
nyumbani Kenya, baada ya hapo atarudi tena Tanzania kuanza kazi rasmi,”
kilieleza chanzo cha uhakika.








0 COMMENTS:
Post a Comment