Steven Gerrard ameanza kazi vema baada ya kikosi chake
kipya cha LA Galaxy kuibuka na ushindi wa mabao 5-2 katika Ligi Kuu ya Soka
Marekani maarufu kama Major League.
Pamoja na ushindi huo dhidi ya San Jose Earthquakes,
Gerrard alionyesha bado wamo baada ya kufunga bao.
Mkongwe huyo kutoka Liverpool alifunga bao la
kusawazisha kabla ya Galaxy kufungua mvua ya mabao na kufunga hadi yalipofikia
matano.












0 COMMENTS:
Post a Comment