Kiungo wa Juventus, Arturo Vidal yuko
mapumzikoni mjini Miami nchini Marekani, lakini amekuwa akiendelea na mazoezi.
Anataka kujiweka fiti huku uhamisho
wake kutoka Juventus kwenda Bayern Munich ukiwa katika hatua za mwisho maana
mazungumzo yamefika pazuri.
Vidal yuko Miami pamoja na kocha wake
wa timu ya taifa ya Chile, Jorge Sampaoli wakiendelea kula bata, pia wakijifua.










0 COMMENTS:
Post a Comment