August 27, 2015





Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) liko katika hatua za mwisho kupanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Kila kigogo ameishajua baada ya shughuli hiyo kumalizika muda mchache uliopita huku matajiri wa soka duniani Real Madrid wakipangwa Kundi A lenye timu za PSG, Malmo na Shaktar.

Mabingwa watetezi Barcelona wako kundi E linaloonekana ubwete wakati Manchester United nayo imepata kundi si gumu lenye timu za PSV na CSKA.

Arsenal wameangukia kundi, Kundi F lenye Bayern Munich, Dinamo Zagreb na Olimpiacos. Na Chelsea wako Kundi G lenye Porto na Dynamo Kiev.

Angalia makundi hayo nane yenye timu nne kila moja zinazowania kusonga mbele kwa kuwa kila kundi litatoa timu mbili kutentengeneza 16 bora ambayo itatoa timu nane zitakazokwenda robo fainali.


KUNDI A
Paris(FRA)
Real Madrid(ESP)
Shakhtar Donetsk(UKR)
Malmo (SWE)

KUNDI B
PSV(NED)
Man. United(ENG)
CSKA Moskva(RUS)
Wolfsburg (GER)

KUNDI C
Benfica(POR)
Atlético(ESP)
Galatasaray(TUR)
Astana (KAZ)

KUNDI D
Juventus(ITA)
Man. City(ENG)
Sevilla(ESP) 
Monchegladbach (GER)



KUNDI E
Barcelona(ESP)
Leverkusen(GER)
Roma(ITA)
Bate (BLR)

KUNDI F
Bayern(GER)
Arsenal(ENG)
Olympiacos(GRE)
Dinamo Zagreb (CRO)

KUNDI G
Chelsea(ENG)
Porto(POR)
Dynamo Kyiv(UKR)
M. Tel Aviv (ISRAEL)

KUNDI H
Zenit(RUS)
Valencia(ESP)

Lyon(FRA)
Gent (BEL)



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic