ALINE LIMA |
Unadhani ukiwa staa mkubwa basi unampata mwanamke yoyote,
sahau. Kama unakataa, basi muulize Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.
Ronaldo ndiyo mwanasoka bora wa dunia kwa sasa, lakini
mwanadada Aline Lima ameonyesha umaarufu si kila kitu katika maisha baada ya ‘kumpiga
chini’ staa huyo baada ya ‘kuziingiza’.
Ronaldo alionyesha kuvutiwa na mwanamitindo huyo katika jiji
la Melbourne wakati Real Madrid ikiwa katika ziara yake ya kujiandaa na msimu
mpya nchini Australia.
Lakini Alne alisisitiza hawezi kufanya lolote, hata kumtumia
picha tu kwa kuwa mpenzi wake asingefurahia.
Juhudi za Ronaldo zilikwama kutokana na Aline kuwa ‘siriaz’
hadi mwisho, maana mwanzo, ilionekana ni kama utani.
0 COMMENTS:
Post a Comment