September 24, 2015

Heri ya Sikukuu ya Eid El Haji kwa Waislamu wote, nawatakia muainze na kuimaliza salama.


Lakini binafsi nawatakia sikukuu njema wasomaji wote wa SALEHJEMBE walio Tanzania na nje ya Tanzania.

Shukurani kwa watu wa Uholanzi, Marekani, England, Oman, Afrika Kusini, India. Pia Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi ambao mmekuwa mkiongoza kwa kusoma blog hii kwa idadi kubwa sana inayotia moyo hasa unapozungumzoa wasomaji  walio nje ya Tanzania.

Kwa mataifa mengine ambayo wasomaji wake ni nje ya Tanzania kama Malaysia, Indonesia, Ujerumani, Serbia, Croatia ambao pia mna idadi kubwa ya watu, hongera na shukurani. 

Nawakaribisha wengine ili muweze kuhabarika katika masuala mbalimbali ya michezo, pia burudani kwa mbaali.

Kwa mara nyingine, kwa pamoja, natawatakia SIKUKUU NJEMA YA EID.

SHEIKH SALEH ALLY JEMBE


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic