September 5, 2015


Jana kulikuwa na hofu ya mshambuliaji Mbwana Samatta kutokuwa fiti asilimia mia baada ya kuumia mguu.


Lakini leo taarifa kutoka ndani ya Stars kwamba Samatta yuko sawa kabisa na atakuwa kati ya wachezaji watakaopambana leo katika mechi dhidi ya Nigeria.

"Kweli jana aliumia enka, daktari amemtibu lakini inaonekana ameamka vizuri kwa kiasi kikubwa.

"Hivyo ni kati ya watakaopambana leo kwa ajili ya taifa," kilieleza chanzo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic