August 11, 2020

 

KUTOKANA na mvutano wa kesi ya Bernard Morrison kuhusu suala la mkataba wake uongozi wa Simba umetoa pendekezo la namna ya kufanikisha suala hilo kuisha kwa amani. 

Ofisa Habari wa Simba Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika namna hii:-

"Kama suala la Morrison limekuwa gumu kwa TFF, bas ipigwe game moja kati ya Simba na Yanga, atakayeshinda ndo amchukue Morrison, mbona simple tu(rahisi)."

Jana Agosti 10 kesi ya Morrison ilianza kuskilizwa na Kamati ya Hadhi ya Wachezaji makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) suala kubwa likiwa ni mvutano wake na mkataba ambapo yeye anasema kuwa mkataba wake ni wa miezi sita huku Yanga wakieleza kuwa ana dili la miaka miwili.

Kinachoongeza uzito ni kwamba mchezaji inaelezwa amesaini dili la miaka miwili jambo linaloongeza uzito kwa kila mmoja kuvutia upande wake.

12 COMMENTS:

  1. Yaani unajionesha kumfunga uzi wa viatu huyu chizi?

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndo itamaliza ubish

    ReplyDelete
  3. Na Morisoni awe refa, mwenyekiti wa kamati awe kibendera.

    ReplyDelete
  4. Simba tuko tayari hata mda huu

    ReplyDelete
  5. Manara ni chizi huyo,maana washazoea kubebwa sasa game na hiyo kesi kunauhusiano gani?jibu lipo rahisi tu huyo chizi mwenzake anamkataba sasa Manala anataka nn sasa?

    ReplyDelete
  6. Enter your comment...kweli simba kutoka uongozi wao ad mashabiki pumba kabisa na huyu mwandishi naye pumba,hii ndo habari ya kuileta humu,yan ushuzi huu mnaushadadia,eti ili kumaliza ubishi kwani nyie mna kesi na sisi,nyinyi ndo morrisoni nmewadharau wote

    ReplyDelete
  7. Hii ndio iwe Fair Decision: Morrison awe mchezaji huru lakini haruhusiwi kusajili timu yoyote Tanzania (ban 2yrs)...Yanga mkataba uwe ulikwisha na mkataba waliousaini bado ulikuwa na mapungufu na kwa Simba uamuzi uwe hawakufuata utaratibu na walikiuka kanuni!

    ReplyDelete
  8. Kweli Manara chiiiiiiz, akili za usingizini shida sana

    ReplyDelete
  9. Mkaaee mkijua kuwa Manara ajui mpira nini .... mwambieni sio taarabu ilie

    ReplyDelete
  10. Huyu Morrison anaichukia Yanga Hakuna mithali na sisi tunamkumbatia kama mwanamme aliyakataliwa na mke ambae anaazirika kweupe Bila ya kuona aibu na yupo tayari kumuona mke kila kichafu anachomfanyia. Ukowapi urigali hapo

    ReplyDelete
  11. Tangu lini Zeruzeru akaongea point jamani, manara siyo yeye na akili yake imelemaa kama ngozi yake ndo maana anatoa ushuzi tu badala ya points na watu wanaunga mkono, siku zote mkia hauwezi Kuwa kichwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ubaguzi yule mbelgiji aliposema akili zenu kama manyani na mnabweka kama mbwa mlisema mbaguzi ila ila kauli yako inaonyesha jinsi gani upeo wako wa kufikiri ulivyo

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic