January 6, 2020

OWE Bonganya nyota kutoka klabu ya TP Mazembe ya Congo amewasili nchini Bongo kufanya mazungumzo na Yanga kumfanya nao mazungumzo ya awali.

Inaelezwa kuwa atakuwa mbadala wa David Molinga ambaye huenda akaachwa kwenye dirisha dogo. 

Yanga kwa sasa ipo kwenye maboresho ya kikosi chao ambapo kwenye dirisha dogo imewasajili wachezaji wapya watano ikiwa ni pamoja na Haruna Niyonzima, Ditram Nchimbi, Adeyum Saleh, Tariq Seif na Ikpe

Nyota huyo ameambatana na meneja wake Mutuale Nestoresangule,amepokelewa na Engr Hersi Said Mkurugenzi wa uwekezaji Gsm ambapo moja kwa moja ataungana na kikosi kilichopo Zanzibar kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi litakaloanza kutimua vumbi leo.

10 COMMENTS:

  1. wataelewa tu second round taifa sijui watabebwa tena na marefa ??????

    ReplyDelete
  2. Kwenye Clip anaonekana ana speed nzuri na skills za kutosha ebu tusubiri tumuone live

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Molinga tulidanganywa hivyo hivyo

      Delete
  3. Naamin atakua mzurri kukaa ata sabu to mazembe unakiwangoo baba klabu kubwa ile

    ReplyDelete
  4. Kifaa cha TP Mazembe, GSM Sasa wameamua kuleta mapinduzi, Safi sana, Yajayo yanafurahisha...

    ReplyDelete
  5. Maranyingi wachezaji wa TP Mazembe wanakua na viwango vizuri, sio ungaunga mwana

    ReplyDelete
  6. Hamna kitu hapo bora ya Molinga.

    ReplyDelete
  7. Ramadhani sidhani,naye yuko mazembe, na kiwango chake cha kawaida tu

    ReplyDelete
  8. kukariri ni kubaya sana, kil aliyeko mzembe ni bora, singano kscheza mech ngap tangu aende mazembe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic