MENDEZ AKIWA NA RONALDO |
1. Jorge Mendes
KAMPUNI: Gestifute International
WACHEZAJI WAKE: Cristiano Ronaldo, James
Rodriguez, Eliaquim Mangala, Pepe, Ricardo Carvalho, Fabio Coentrao,Diego
Costa, Thiago Silva, Tiago, Radamel Falcao, Angel di Maria, David de Gea, Jose
Mourinho.
Pato la mikataba na
wachezaji: £626.3m
Anachoingiza kupitia
mikataba: £62.8m
**************
BARNETT (KUSHOTO( AKIWA NA BALE SIKU ALIPOTUA MADRID NA KUWEKA REKODI YA USAJILI DUNIANI. |
2. Jonathan Barnett
KAMPUNI: Stellar Group
WACHEZAJI WAKE: Gareth Bale, Joe Hart,
Wojciech Szczesny, Scott Sinclair, Luke Shaw, Rafael, Glen Johnson, Phil
Jagielka, Adam Lallana, Ashley Cole, Sylvain Distin, Patrick Roberts, Richard
Wright
Pato la mikataba na
wachezaji: £287m
Anachoingiza kupitia
mikataba: £28.8m
*****************
STRUTH (KUSHOTO) AKIWA NA GOTZE NA REUS |
3. Volker Struth
KAMPUNI: SportsTotal
WACHEZAJI WAKE: Marco Reus, Mario Gotze,
Toni Kroos, Benedikt Howedes, Sidney Sam, Omer Toprak, Gonzalo Castro, Josip
Drmic.
Contracts worth: £278m
Anachoingiza kupitia
mikataba: £27.8m
********
OTIN AKIWA NA JEZI YA TORRES MARA BAADA YA KUTUA LIVERPOOL |
4. Jose Otin
KAMPUNI: Bahia Internacional
WACHEZAJI WAKE: Vitolo, Fernando Torres,
Javi Martinez, Jesus Navas, Pedro, Raul Garcia, Nacho Monreal
Pato la mikataba na
wachezaji: £191m
Anachoingiza kupitia
mikataba: £19.2m
**********
RIOLA AKIWA NA ZLATAN |
5. Mino Raiola
KAMPUNI: Mino Raoila
WACHEZAJI WAKE: Paul Pogba, Henrikh
Mkitarhyan, Blaise Matuidi, Zlatan Ibrahimovic, Maxwell, Romelu Lukaku, Mario
Balotelli
Pato la mikataba na
wachezaji: £186m
Anachoingiza kupitia
mikataba: £18.7m
0 COMMENTS:
Post a Comment