October 17, 2015

MPIRA UMEKWISHAAAA
Dk 10 za mwisho zinaonekana ni za Mbeya City ambao wanashambulia mfululizo, kipa Agban anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira hatua nne kutoka langoni.



Dk 75 hadi 80, Simba angalau wanaonekana kuchangamka na kupeleka mashambulizi kwenye lango la Mbeya Ciy

DAKIKA YA 70
SImba wamemtoa Abdi Banda na nafasi yake kuchukuliwa na Peter Mwalyanzi na Mbeya City wamemtoa Haruna Moshi 'Boban' na nafasi yake kuchukuliwa na Hamad Kibo[ile

Kipindi cha pili kimeanza, Mbeya City ndani ya dakika 15 wanaonekana kushambulia zaidi kuliko Simba. Tayari wanafanikiwa kupata kona mbili. Simba wanakuwa kama wameridhika na bao moja, hawajafanya shambulizi hata moja, lakini wanapoteza muda sana
Simba inaongoza kwa bao 1-0 na sasa ni mapumziko mjini Mbeya.


Beki Juuko Murshid ameifungia Simba bao katika dakika ya 3 baada ya kuunganisha kona kwa kichwa kikali.

Mpira unavyoonekana ni mzuri, timu zinashambuliana kw azamu ingawa Simba inatawala zaidi katikati ya uwanja.

Dk ya 1, Azam FC wanaanza kupeleka shambulizi lakini Haji Mwinyi anapiga kichwa na kuokoa na John Bocco anauwahi na kumkanyaka Ngoma kwa bahati mabaya.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic