WACHEZAJI NA SAPOTA WA TEAM ISMAIL WAKISHANGILIA PAMOJA BAADA YA KUKABIDHIWA MWALI WAO NA KATIBU MKUU WA ZAMANI WA TFF, ANGETILE OSIAH. HII ILIKUWA NI BAADA YA KUIFUNGA TEAM DIZZO ONE KATIKA LILE TAMASHA LA KANDANDA DAY AMBALO LILIFANYA LEO KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE JIJINI DAR ES SALAAM.
0 COMMENTS:
Post a Comment