November 10, 2015



Mshambuliaji hatari wa Leicester City, Jamie Vardy ndiye mchezaji bora wa mwezi Oktoba.


Vardy amechukua tuzo hiyo baada ya kuonyesha makali akianzia Septemba na kwenda mfululizo hadi Oktoba akiendelea kucheka na nyavu mfululizo.
 

Kilichompa nafasi ya kutwaa tuzo hiyo ni pamoja na kufunga mfululizo katika mechi nane.

 

ANGALIA ALIVYOCHEKA NA NYAVU:
Agosti 29 - vs Bournemouth - 1 goal
Septemba 13 - vs Aston Villa - 1 goal
Septemba 19 - vs Stoke City - 1 goal
Septemba 26 - vs Arsenal - 2 goals
Oktoba 3 - vs Norwich City - 1 goal
Oktoba 17 - vs Southampton - 2 goals
Oktoba 24 - vs Crystal Palace - 1 goal
Oktoba 31 - vs West Brom - 1 goal
Novemba 7 - vs Watford - 1 goal 









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic