Arsene Wenger ameibuka na
tuzo ya kocha bora wa mwezi uliopita katika Ligi Kuu England.
Hiyo ni ni tuzo ya 15 ya
mwezi kwa Wenger tokea atue Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan.
Mwezi uliopita, Wenger
amefanikiwa kuingoza Arsenal kuzitwanga Manchester United, Watford, Everton na
Swansea City.
0 COMMENTS:
Post a Comment