Charles
Boniface Mkwasa amepanga kikosi chake kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya
Afrika Kusini U23 inayopigwa hivi punde kwenye Uwanja wa Eldorado jijini
Johannesburg.
Kikosi cha timu hiyo ya vijana ya Afrika Kusini, kinanolewa na fowadi wa zamani wa Charlton Athletic ya England na timu ya taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, Shaun Bartlett.
Kikosi
kitakachoanza leo:
1.
Aishi Manula
2.
Shomari Kapombe
3.
Haji Mwinyi
4.
Nadir Haroub
5.
Kelvin Yondani
6.
Jonas Mkude
7.
Simon Msuva
8.
Salum Abubabary
9.
John Bocco
10.Mrisho Ngassa
11. Farid Mussa
*Makubaliano, timu
inaweza kubadilisha hata wachezaji 10. Lakini si kwa mara moja, angalau wawili,
watatu na kuendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment