Shirikisho la Soka Afrika (Safa), limetangaza kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka 23 kitakachoivaa Taifa Stars katika mechi ya kirafiki ya mazoezi.
Mechi hiyo inapigwa saa 10 hapa, saa 11 Tanzania na imepangiwa Uwanja wa El Dorado jijini Johannesburg.
Timu hiyo ya vijana inajiandaa na michuano ya Olimpiki na imekuwa na mazoezi mara mbili hadi tatu kila wiki kujiandaa na inatakiwa kuwavaa Senegal.
Stars ipo kambini jijini Johannesburg kujiandaa kucheza dhidi ya Algeria Novemba 14. Kikosi chao hiki hapa...
Makipa:
Mbulelo Ngqobe (Vasco da Gama), Ricardo Goss (Arrows), Kyle Peters (CT All
Stars)
Walinzi:
Rikhotso(Celtic), Mngonyama, Makhele (Spurs), Mphele (Highlands), Macheke
(Chippa), Farmer (SS), Bruchhausen (Highlands), Moerane
Viungo:
Mobara (Ajax), Motupa (Orlando Pirates), Dolly (Downs), Zungu (Amazulu), Mokgoka, Mako
(CT All Stars), Mekoa (Maritzburg), Norodien (hawajaweka timu)
Washambuliaji:
Menzi Masuku (Orlando Pirates), Ntshangase (Leopards), Thabiso Kutumela (Baroka),
Julius Likontsane
0 COMMENTS:
Post a Comment