November 2, 2015


Taifa Stars imesafiri leo kimyakimya imeondoka kwenda Afrika Kusini kuweka kambi.

Stars imebadili kutoka kambi ile ya Oman hadi Afrika Kusini, kambi ambayo itawekwa katika jiji kubwa kuliko yote nchini humo la Johannesburg.

Taarifa zinaeleza uamuzi huo umetokana masuala ya jiufundi.
Hata hivyo taarifa zinaeleza kwamba Algeria walianza kufanya ujanja baada ya kusikia Stars wataweka kambi nchini Oman.


Hata hivyo TFF wamekuwa wagumu kuzungumzia kuhusiana na mabadiliko hayo ya haraka ya kambi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic