Kocha Guus Hiddink pamoja na mmliki wa Chelsea Roman Abramovich wakiwa na gwiji, Didier Drogba wameishuhudia Chelsea ikirejea katika enzi za ushindi wakiwa jukwaani.
Chelsea imeshinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Sunderland ikiwa ni mechi ya kwanza baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu, Jose Mourinho kufungashiwa virago.
Hiddink ndiye kocha mpya lakini wa muda wa Chelsea hadi hapo baadaye.










0 COMMENTS:
Post a Comment