Unaweza kufikiri huyu ni mtu mgeni kwako, lakini nakukumbusha, huyu ni Kocha Mkuu wa Yanga kwa sasa, Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi. Hii ilikuwa ni mwaka 1971 alipofunga ndoa kwa mara ya kwanza.
Mwonekano wake no tofauti, alikuwa kijana mwenye mvuto. Lakini sasa ni mtu mzima mwenye miaka 66, lakini bado ni shupavu na anapiga kazi yake vizuri.
Picha hii pia inaonyesha watu wanatokea mbali na mafanikio pia yanahitaji mapambano.








0 COMMENTS:
Post a Comment