December 15, 2015


Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameonyesha ana jeuri ya fedha hata kama akiwa Uarabuni.

Mayweather amenunua saa ya dola milioni moja akiwa Dubai ambako yuko mapumzikoni.
Saa hiyo aina ya Hubolt ndiyo saa ghali zaidi duniani.
Kama ingekuwa Tanzania, fedha hizo zingeweza kujenga angalau nyumba ya ghorofa ambayo ingeweza kuitwa nyumba ya kifahari. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic