December 17, 2015


Hatimaye yametimia, Kocha Jose Mourinho amefukuzwa kazi Chelsea.

Mourinho amefukuzwa wakati akiwa mazoezini akijiandaa na kikosi chake.

Kinachofanyika sasa ni maandalizi kwa mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich kumlipa kocha huyo kitita chake cha pauni milioni 40 ikiwa ni sehemu ya kuvunja mkataba.

Mara ya mwisho Chelsea imepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Leicester City na kuwakatisha tamaa kabisa mashabiki wake.


Hii ni mara ya pili Mourinho kutimuliwa Stamford Bridge ingawa mara ya kwanza mambo kati yake na Chelsea yalikwenda “kishikaji”.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic