 |
| PRESHA KUBWA KWA VAN GAAL... |
 |
| MEMPHIS DEPAY |
Mastaa wa Manchester United wamekwenda mazoezi kama kawaida leo, lakini nyuso zao zinaonekana hazina furaha.
Picha zilizopigwa wakiwa njiani kwenda AON Complex ambako mazoezi hufanyika, zimewaonyesha hawana raha.
Presha juu yao imekuwa kubwa hasa baada ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa timu kibonde ya Norwich.
Presha kubwa ipo kwa Kocha Louis van Gaal ambaye inaonekana kabisa kama atapoteza mechi ijayo, safari imemkuta na imeelezwa Jose Mourinho amekuwa akiwania nafasi hiyo.
 |
| BLIND... |
 |
| NAHODHA, WAYNE ROONEY |
 |
| ASHYLEY YOUNG |
 |
| CHRIS SMALLING |
 |
| MAROUANE FELLAINI (KULIA)... |
0 COMMENTS:
Post a Comment