December 13, 2015


Liverpool imesalimika kwa bao la dakika ya 90 lla Divok Orig ambalo limeisaidia kupata sare ya 2-2 dhidi ya Wes Brom katika mechi kali ya Ligi Kuu England.

Liverpool ilitangulia kufunga lakini mabao mawili ya Crag Dawson na Jonas Olsson yaliifanya iwe nyuma kwa mabao 2-1 hadi dakika ya 90 Origi raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Kenya alipofunga bao hilo la kusawazisha.

LIVERPOOL:
 Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Moreno, Can, Milner, Henderson, Lallana, Coutinho, Benteke
Subs: Bogdan, Toure, Firmino, Lucas, Allen, Origi, Ibe

WES BROM:
Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Evans, Brunt, Fletcher, Gardner, McClean, Morrison, Rondon
Subs: Chester, Gnabry, McManaman, Berahino, Lambert, Anichebe













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic