December 24, 2015



Tayari Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ameanza mapumziko mafupi ya sikukuu ya Krismasi.

Yuko jijini New York nchini Marekani na amehudhuria mechi ya NBA kati ya Miami Heat dhidi ya Detroit Pistons iliyoshinda kwa pointi 93-92.

Pia Ronaldo alikabidhiwa jezi namba 7 ambayo ni namba yake lakini safari hii katika jezi ya Miami Heat ambayo yeye ni shabiki.

Baada ya kukabidhiwa jezi, pia alipata nafasi ya kupiga stori na Mwingereza, Luo Deng ambaye ni staa wa timu hiyo.




AKIPIGA STORI NA DENG 






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic