Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kama kawa leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.
Ingawa ni sikukuu ya Maulid, lakini kikosi kizima cha Yanga kilijitokeza mazoezini kwa ajili ya kuhakikisha kinajiweka fiti kwa mechi yao ya wikiendi dhidi ya Mbeya City.
0 COMMENTS:
Post a Comment