LICHA YA KUWA IMEISHAFUZU KATIKA LIGI YA MABINGWA ULAYA HATUA YA 16 BORA, LAKINI MADRID HAIKUSITA KUTOA ADHABU KALI KWA KUICHAPA MALMO FF YA SWEDEN KWA MABAO 8-0 HUKU CRISTIANO AKIFUNGA MABAO MANNE, KARIM BENZEMA AKATUPIA TATU NA KUIWEZESHA TIMU HIYO YA HISPANIA KUFUNGA MABAO MENGI ZAIDI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment