Kiungo wa zamani wa Simba, Shekhan Rashid ametimiza miaka mitano ya ndoa yake.
Mtanzania huyo kwa sasa anaishi katika jiji kubwa zaidi nchini Sweden la Stockholm ambako anaendesha maisha yake akiwa na familia yake.
Shekhan ametupia picha mtandaoni akisherekea kwa kula chakula cha usiku na mkewe ambaye tayari Mungu amewajaalia watoto wawili, wa kike na kiume.
Wawili hao wanaonekana wakisherekea huku Shekhan, mtoto wa Magomeni Kagera, Bongo akiwa ameandika hivi:
“Anniversary dinner.. Staying strong for 5 years and many more to come Inshaallah”








0 COMMENTS:
Post a Comment