December 26, 2015


Ligi Kuu England kuna timu 20, kati ya hizo nane zinamilikiwa na wafanyabiashara kutoka England na 12 zilizobaki ni wafanyabiashara kutoka nchi mbalimbali dunia.

Wamarekani wanamiliki timu nane zikiwemo Manchester United na Arsenal huku Warusi wakifuatia kwa kumiliki timu mbili ambazo ni Chelsea na Bornemouth.

Inawezekana ndani ya klabu kukawa na wamiliki wengine, lakini wanaotajwa ni wale wenye hisa kubwa zaidi ambao huitwa wamiliki wakuu.

England (8)
Crystal Palace (Steve Parish), Everton (Bill Kenwright), Newcastle (Mike Ashley), Norwich (Delia Smith & Michael Wynn-Jones — England/Wales), Stoke (Coates family), Tottenham (Joe Lewis), West Brom (Jeremy Peace), West Ham (David Sullivan & David Gold)

Marekani (5):
Arsenal (Stan Kroenke), Aston Villa (Randy Lerner), Liverpool (John W Henry) Man Utd (Glazer family), Sunderland (Ellis Short).

Russia (2):
 Bournemouth (Maxim Demin), Chelsea (Roman Abramovich).

Wales (1) Swansea (Morgan family)
Italy (1) Watford (Gino Pozzo).
Switzerland (1) Southampton (Katharina Liebherr).
Thailand (1) Leicester (Srivaddhanaprabha family).
UAE (1) Man City (Sheik Mansour).


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic