Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure ameshinda tena tuzo ya mchezaji bora Afrika wa BBC.
Toure ameshinda tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wengine wa Afrika wanaocheza barani Ulaya safari hii akiwa ameshinda mara ya pili.
Ushindi wake wa mara ya pili, maana yake amewafikia wachezaji wengine Nwankwo Kanu na Jay-Jay Okocha, wote raia wa Nigeria.
Toure ,32, amewapiga bao Yacine Brahimi (Porto-Algeria), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon-Dortmund), Andre Ayew (Swansea-Ghana) na Sadio Mane Southampton-Senegal).








0 COMMENTS:
Post a Comment