February 8, 2016


Usajili wa kimataifa, fedha huhitajika kwa wingi. Ligi kubwa tano barani Ulaya wakati wa usajili wa kipindi cha baridi kwa mwaka 2016, inaonekana matumizi ya fedha yalishuka kwa asilimia 26.

Asilimia 26 imeshuka ukilinganisha msimu uliopita. Hii ni kwa mujibu data zilizotolewa na body ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Ligi Kubwa za Ulaya ni England, Hispania, Ujerumani, Italia na Ufaransa.

Kati ya Janauar Mosi hadj Februari Mosi, jumla klabu kubwa kutoka katika ligi hizo zimetumia kitita cha pauni million 246, hii imeonekana katika mtandao wa uhamisho wa kimataifa (TMS) unaomilikiwa na Fifa.


Hata hivyo, klabu za Premier League ya England ndiyo zinaonekana zimetumia fedha nyingi zaidi ambazo ni pauni million 126, manna take pauni million 120 zilizobaki, zimetumika katika ligi nyingine nne.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic